Tuna Shukuru sana kufanya kazi na Buddy P Company limited

blog-01_591.jpg

Tuna Shukuru sana kufanya kazi na Buddy P Company limited tumewapelekea vijana wapatao thelathini na tano kwa ajili ya promotion ya vinywaji wanavyozalisha lakini pia tumewapelekea wadada kumi na tano ambao kazi yao ni kufanya matangazo kwenye kumbi mbali mbali za starehe.

Quick Links
Contact Us
Kigamboni - Dar es Salaam.